• Malalamiko
    • Wasiliana Nasi
    • Maswali na majibu
    • Barua pepe
KIBITI DISTRICT COUNCIL
KIBITI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBITI

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Admnistration
    • Muundo wa Taasisi
    • Utawala
    • Vitengo
  • Uwekezaji
    • Livestock Investment
    • Tourism
    • Agriculture Investment
  • Huduma zetu
  • Council Members
  • Project
  • Machapisho
  • Kituo cha Habari

KIBITIDC KUPOKEA WANAFUNZI DARASA LA KWANZA NA KIDATO CHA KWANZA KWA KISHINDO

Posted on: January 5th, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Kibiti Mhe.Gullamhussein S. Kifu akiongozana na kamati ya ulinzi na usalama pamoja na Mkurugenzi mtendaji Wilaya Ndg.Mohamed I. Mavura na timu yake wametembelea shule za Msingi na Sekondari kukagua maendeleo ya ujenzi na ukarabati wa madarasa yanayotarajiwa kuingiza wanafunzi wa darasa la kwanza na kidato cha kwanza.

Shule mbalimbali zilitembelewa ambazo ni Mkupuka,Zimbwini,Dimani,Kinyanya,Mtawanya,Pagae,Msafiri na Mjawa sekondari.

Wakati wa ziara hiyo Mhe.Mkuu wa Wilaya alifurahishwa na kasi kubwa ya ujenzi na ukarabati wa madarasa pamoja na vyoo na kuwapa pongenzi watendaji wote,Wahe.Madiwani,Wenyeviti wa vijiji na vitongoji pamoja na kamati za shule kwa usimamizi mzuri ambao unaendana na kasi kubwa ya maendeleo ya serikali ya awamu ya tano katika kuhakikisha wanachi wanapata huduma bora na kwa wakati.

Aidha,Mhe. Mkuu wa Wilaya aliwaahidi viongozi wa shule kurudi kujiridhisha kama watoto watakuwa wameingia kwenye madarasa hayo siku ya kufungua shule ambayo ni Jan.11,2021.

picha zaidi

Matangazo

  • KILIMO UFUTA December 23, 2020
  • JOINING INSTRUCTIONS December 23, 2020
  • Angalia Vyote

Habari Mpya

  • KIBITI YAPATA CHETI CHA PONGEZI

    March 11, 2021
  • KAMATI YA FEDHA,UTAWALA NA MIPANGO YATEMBELEA MIRADI ROBO YA PILI

    February 22, 2021
  • BARAZA LA MADIWANI HALMASHAURI KIBITI LAPITISHA BAJETI YA SHILINGI BILIONI THELATHINI NUCTA NNE

    February 03, 2021
  • KIBITIDC KUPOKEA WANAFUNZI DARASA LA KWANZA NA KIDATO CHA KWANZA KWA KISHINDO

    January 05, 2021
  • Angalia Vyote

Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa

More Videos

Kurasa za Haraka

  • Ajira
  • Madiwa wa sasa
  • Barua pepe
  • Wasiliana nasi
  • Malalamiko
  • Maswali na Majibu
  • Fursa za Uwekezaji
  • Maktaba ya Picha
  • Fomu Mbalimbali

Tovuti zinazoshabiana

  • TANZANIA GOVERNMENT PORTAL
  • COAST REGION WEBSITE
  • TAMISEMI
  • PRESIDENT'S OFFICE,PUBLIC SERVICE MANAGEMENT AND GOOD GOVERNANCE
  • NECTA
  • TOVUTI YA AJIRA
  • IKULU
  • TANZANIA BUREAU OF STATISTIJS
  • Tume ya uchaguzi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Kibiti

   

    • Sera binafsi
    • Kanusho
    • Maswali na majibu
    • Sitemap
    • Huduma zetu

Copyright ©DED-KIBITI 2017 . All rights reserved.